URT Vice President, Dr. Philip Mpango arrived in Rwanda to represent President Samia in a Commonwealth Heads of State Meeting that is to take place 24 and 25 June 2022. https://t.co/5lLFEsy07U https://t.co/BELp8I7oww tzbranding photo

Haut Katanga Province Governor Hon. @JacquesKyabula from DRC, has begun his working visit in Tanzania. The visit among other issues, seeks to establish cooperation in agriculture, trade & mining sector https://t.co/hkY0FomIjF tzbranding photo

Gavana wa jimbo la Haut Katanga la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. @JacquesKyabula ameanza ziara yake ya kikazi hapa nchini. Ziara hiyo pamoja na masuala mengine, inalenga kuanzisha ushirikiano katika sekta za Kilimo na Madini. https://t.co/iiEiQgbJCg tzbranding photo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi @Amb_Mulamula 🇹🇿 akiongea na Waziri Mkuu wa Canada 🇨🇦, Mhe. Justin Trudeau wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika Rwanda 🇷🇼 tarehe 20 hadi 25 Juni 2022. https://t.co/Ior5aSWdxg tzbranding photo